Hii sijui fulani ataiga?

Hii sijui fulani ataiga?

Iyo imekaa vyema sana hawa mabinti wanapataga tabu sana
 
Safi sana hiyo...

Hiyo ni ishara kubwa ya kuthamini elimu kwa mtoto wa kike pale unapompunguzia changamoto za kimaumbile...
 
Back
Top Bottom