African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho kabisa hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
Soma pia: FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium
Soma pia: FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024