African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Uzi ufungwe..!hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
Acheni wivu nyie Ubwela.Kitu kikubwa nilichokiona kwa wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho kabisa hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
Supu nayo ni kafara...,??Makafara SC bila supu hamtokei.
Mi naangalia jezi nzuri zaidi ninunueMi nimeliona hilo tangu jezi zimetoka mpaka najiona yatima sina jezi
Kitu kikubwa nilichokiona kwa wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho kabisa hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
Kwani uwongo.Supu nayo ni kafara...,??
Kitu kikubwa nilichokiona kwa wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho kabisa hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
Kwani uwongo.
Kwa hiyo ulikaa kimarienge unatazama huku na kule?Acha ushambenga utanaswa makofi.Kitu kikubwa nilichokiona kwa wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho kabisa hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
AiseeKitu kikubwa nilichokiona kwa wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho kabisa hata wao wanapenda supu ila tajiri ni bairi.
Kafara yake sisi inatuhusu nn leta supuyaani hyo supu ya elfu 2 nyie mnapewa bure. Ndo roho ituume?
Gsm anatoa misaada hapo hapo anafanya makafara yake.biashara zake ziende.
Kuna jamaa akitaka kujenga nyumba anatoa sadaka ya chakula kwa watoto yatima.
AKILI KUMKICHWA