Hii siku ya wiki ya Mwananchi kuna kitu nimekiona

HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO

1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🀣

2. ,πŸ‘‰Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa

3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin

4.Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja

5.Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.

6.Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda

7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadiπŸ˜‚πŸ˜‚nacheka kama mazuri

8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidiπŸ˜‚

9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.

10.Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza🀣🀣 Red ♦️

11.Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako🀣

12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.

13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.

14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.

15. Kugombania mic 🎀 wasanii. Marioo.😭

Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine
 
Umesahau kitu kimoja, au labda hukukiona. Yanga tulimtambulisha Hamisa Mobeto
 
yaani hyo supu ya elfu 2 nyie mnapewa bure. Ndo roho ituume?
Gsm anatoa misaada hapo hapo anafanya makafara yake.biashara zake ziende.
Kuna jamaa akitaka kujenga nyumba anatoa sadaka ya chakula kwa watoto yatima.
AKILI KUMKICHWA
Asa kumbe anataka biashara zake ziende mbona usememakafara
 
Yaani kila mwananchi ninayekutana nae kavaa jezi mpya naona nimebaki mimi tuuu....kwa msimu huu wanayanga wamejitahidi mno kununua jezi
 
Supu pia imesadia kujaza uwanja.πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Na maji ya kunywa ya bure toka GSM. Na hakuna tukio lililoshangiliwa jana kuliko tukio jengine kama pale Kitenge aliposema watapewa maji ya kunywa bure! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…