appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
Tujuzane ile sinema fake imeishia wapi ilitambulishwa tarehe 02 mtu kujitangazia kavamiwa na majambazi 20 (Sasa sijui hii idadi yote walikua wanafanya maandamano au laa coz hata bank haijawahi tokea ikavamiwa na idadi hii). Halafu wakawajeruhi ndugu zake (cha ajabu haikuoneshwa hata picha moja ya majeruhi). Halafu muhusika kajificha hawakumuona (duh idadi ya watu 20 wameshindwa kumuona mtu mmoja kwani hyo nyumba ilikuwa na mahandaki?)
Ifikie hatua watanzania tukatae kufanywa watoto na kama watu mziki umewashinda waache sio kutafuta kick ki namna hii kwa kutunga uongo ambao hata mtoto wa miaka miwili humdanganyi. Kipindi wenzake wanajituma wao fitina na roho ya kwanini fulani afanikiwa walahi down fall r waiting for him na Level za Diamond wataishia kuziota..