Hii sio busara

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kuwaorodhesha wanawake ulio tembea nao, tena unafanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii. Inasikitisha
 
Nani kafanya hivyo,....huu ni zaidi ya ujuha
 
Kuna watu wanapenda kufanya
matendo ya ki wendawazimu na wenyewe
si wenda wazimu...
 
Kuna watu wana mambo ya ajabu kwakweli, ye hapo anajiona ndo kidumeee!! Ni bora hata huyo mtu simjui maanake.......aaarrrrggghhhh!!!
 
Mi kuna mshkaji huwa ananiudhi kweli,eti oo nimetembea na kila aina ya wanawake,bado zeru zeru tu,yaani ananikera ile mbaya.
 
Ni ushamba na ulimbuken wa kijinga 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…