Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

"Basi ikawa ijumaa, mida ya alasiri palitokea kijana mmoja anaitwa Ivuga, katika jamvi lile pendwa la chitchat akatoa onyo kali kwa wafuasi wa jukwaa na kuwaambia kuwa ameopoa vigoli wawili, akaendelea kusisitiza kwa onyo kali kuwa atakaewasogelea atakiona cha mtema kuni, wafuasi wale wa jukwaani hawakusadiki maneno yake; wengine wakamuita muhujumu uchumi, wengine wakamwambia una tamaa, wengine wakadiriki kumuita mshika pembe Lakini akabaki na msisitizo wake kuwa anawapenda vigoli wale wawili kwa majina Inna na relato "

Ijumaa 7:7
 
Ha ha ha haaa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Joseverest naelewa sanaa adi sio vizur
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Joseverest naelewa sanaa adi sio vizur
 
Hahaha nimeipenda hii. Nitakuja kujibu badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…