joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Wakenya mlioko hapa. tuambieni nini kinaendelea huko kwenu?
Wakenya wanapata taabu Sana kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE: Wakenya mlioko hapa. tuambieni nini kinaendelea huko kwenu?
Wakenya wanapata taabu Sana kwakweli
Wafaransa wale ni vizazi na vizazi.Hata hivyo maandamano yaliwasaidia kuondoa utawala wa kifalme wa kinyonyaji,kuwa na social security nzuri na wasio na kipato kikubwa matibabu bure asilimia mia.Ufaransa ni nchi number moja Ulaya kwa social security nzuri.Hata Kenya bila kuandamana kamwe wasingepata tume huru.Hawa bado kidogo watakuwa kama ufaransa tu 🤣🤣🤣
Tatizo wanasema wak badala ya work😂vipi, ki-ingereza chao hakikusaidia ?
Mpaka sasa jamaa wapo vizuri kiukweli, ukitazama ktk swala la Diaspora tu jamaa wana namba mzuri sana na wana perform vizuri financialila hii movement itaifanya kenya kuwa taifa lenye nguvu sana kuliko nchi yoyote africa mashariki
Nchi gani iliyopata maendeleo yoyote kwa kutumia "remittances"?. Diaspora ya Kenya imekuepo kwa miaka mingi, lakini kadri diaspora inavyoongezeka ndio hali ya uchumi Kenya ndio inazidi kuzorota, hiyo inatoa picha gani?Mpaka sasa jamaa wapo vizuri kiukweli, ukitazama ktk swala la Diaspora tu jamaa wana namba mzuri sana na wana perform vizuri financial
Kuzorota kwanuchumi wao nafikir ni matokeo ya ubazilifu ila kama watakuja kukaa sawa wakipata kiongozi ambae walau akadhibiti mianya walau kwa kiasi kamaa wata. Enda juu sanaa..Nchi gani iliyopata maendeleo yoyote kwa kutumia "remittances"?. Diaspora ya Kenya imekuepo kwa miaka mingi, lakini kadri diaspora inavyoongezeka ndio hali ya uchumi Kenya ndio inazidi kuzorota, hiyo inatoa picha gani?
Mkuu fuatilia mambo kwa undani sio kusikilizwa juu juu. Miaka 20 iliyopita, Kenya ilikua inaizidi Tanzania karibia katika "economic sectors zote", yaani kuanzia utalii, exports, manufacturing, construction, agriculture, transportation, Health, Sports, music, na zingine nyingi. Hivi Sasa Tanzania tumewazidi karibia Kila sector isipokua hizo "Remittances, flowers na chai. Kwenye mapato ya utalii tulishawazidi kwa mbali Sana.Kuzorota kwanuchumi wao nafikir ni matokeo ya ubazilifu ila kama watakuja kukaa sawa wakipata kiongozi ambae walau akadhibiti mianya walau kwa kiasi kamaa wata. Enda juu sanaa..
Nafikiri hata mapato yao ya utalii ni makubwa compare na hapa Tz . Ni maoni yangu tu haya