Hii sio kawaida

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
habari za asubuhi wadau,,
wakuu Jana sijalala kabisa na Leo hii nimeamka nikiwa na maumivu makali sana ndani ya moyo Wangu,,
Jana nilimpata msichana wa ku DO ,nakaanae nyumba moja sasa nilirudishia mlango tu kwasababu nilijua atakuja
ilipofika saa 6:23 usiku akaja na kanga moja ,,akalala kitandani akaniamsha nilivyoamka akanikumbatia,,
sasa wakati naanza na Mimi mambo yangu akaniambia tufanye haraka ili nirudi.
nikamueka vizuri lkn kabla sijafanya uume ukanywea , Hapo ndo vurugu zikaanza kwakweli nilishindwa nifanyaje,
binti akaondoka kwa hasira na kuniambia maneno kibao yakuudhi ,,asubuhi tena namsikia anaimba mafumbo ,.nakosa amani sijui ni tatizo gani naogopa kumuita tena ,
wadau nisaidieni kuhusu hili. je ni upungufu wa nguvu au ni nini , hua inanitokeaga lkn hua nalidharau ,,lkn hii jana hpn
asanteni wadau naamini mtanisaidia kimawazo au kama ni ugonjwa na dawa pia
Heshima kwenu
mficha maradhi mauti humuumbua
 
tumia mkongo halafu muite na ofa weka
 
Muda mwingine hua ni hofu hilo tendo linahitaji maandalizi ukilifanya kwa haraka na presha kubwa Mara nyingi hua hvyo, mtafte wakat mwingine mtoke mbali na hapo utakubali maneno yngu ni hali yakawaida sana mkuu usiogope
 
Muda mwingine hua ni hofu hilo tendo linahitaji maandalizi ukilifanya kwa haraka na presha kubwa Mara nyingi hua hvyo, mtafte wakat mwingine mtoke mbali na hapo utakubali maneno yngu ni hali yakawaida sana mkuu usiogope
asante mkuu manake hata nje naogopa kutoka kwa maneno yake tu
 
Kunywa Maji mengi Zen Acha Papala Tulia

Mapenz ni Stareh sio Kalaha
 
Punguza /acha kabisa kupiga punyeto + usipende kuangalia sana hizo xxx videos kwa sasa. ....

Usisahau kunipa Mrejesho.
 
Fanya mazoezi ya kutosha.tafuta asali kila siku uwe unachanganya kwenye glass moja na maji ya uvugu vugu.kwa muda wa wiki mbili tu.pia ondoa wasi wasi kichwani set mind yako vizuri
 
Hilo tatzo lilisha wahi kunipata kiukweli nilifadhaika sana mpaka nikaogopa kutongoza ila nilipata ushaur some where huezi amini show ya sasa kimoko sishuki mpaka cha pili na kama manzi yuko vzuri mpaka bao 3 naunga,naomba kukuuliza kitu je? hapo mwanzo show unasimamia? au imetokea siku moja tu?,ni Pm nikupe ushauri
 
mkuu unaonaje ukimwaga ushauri kabisa hapa maana tupo wengi tunafatilia, mi mwenyewe imewahi kunikuta hii tupe maujanja tu haphapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…