Jina la jamaa alikuwa Dubai ni nani tu? Nipe hint naomba ..
It goes both ways. . .Yeah man! Yani its about time mtu kushout out! Yani sijui wanakuwa hawana uhakika na wanataka more options? Ua unakuta wameudhiwa na wanaatempt kulipiza? Kweli dada zetu acheni kabisa kucheza hii sick game!
Mwehhhh lazima ni double check ati ..unahisi umevamiwa??
Teh teh teh.
ndio utie akili......
ndani ya miezi minne unatangaza ndoa......
nani alikwambia huwa tunataka kuolewa haraka haraka.....
au mnadhani huwa na sisi hatuhitaji kuwachunguza.....
next time usirudie......ni kosa kubwa sana kushobokea ndoa mapema.....
pole lakini.....itapita utazoea....ndio maisha......
It goes both ways. . .
Au ndo hufahamu kua wapo wanaume wanaoacha mke na watoto nyumbani alafu wanaenda kudanganya vibinti.kua wanataka ndoa nao? We mwenyewe uliachia moyo kwa rafiki. . .WHY?
The point is, acha kukandia mmoja as if yeye pekee ndie anaehusika kwenye maswala kama hayo.Ni kweli it goes bothways ila wewe unamaanisha tulifumbie hili jambo macho kwa sababu hiyo? kamwe! huko kwingine mtu atakujaanzisha thread tusubiri, sasa hivi tulijadili lililoko mezani.
BTW kama umesoma story yangu toka mwanzo sikudanganya na hao wasichana wawili wanajuana, na kila mtu anajua position yake na ya mwenzie in my life!
Preta, unamaanisha kuwa miezi minne ni michache. Kwa upeo wangu
kama umeshindwa kufanya Investigation ndani ya miezi 4 hata miaka
miwili huwezi pia.
The point is, acha kukandia mmoja as if yeye pekee ndie anaehusika kwenye maswala kama hayo.
Hehehe. .
Kila mmoja angekua anajua huyu ambae ndo unamuita mchumba asingejua juzi juzi tu(source thread yako ya vipi akurudishe moyoni) kwamba ulifall kwa rafikiyo. Angekua anajua tangu unaanza kufall hivyo na wewe ndio wale wale. Anza kujirekebisha kabla ya kukandia wengine.
The point is, acha kukandia mmoja as if yeye pekee ndie anaehusika kwenye maswala kama hayo.
Hehehe. .
Kila mmoja angekua anajua huyu ambae ndo unamuita mchumba asingejua juzi juzi tu(source thread yako ya vipi akurudishe moyoni) kwamba ulifall kwa rafikiyo. Angekua anajua tangu unaanza kufall hivyo na wewe ndio wale wale. Anza kujirekebisha kabla ya kukandia wengine.
Lizzy mpenzi umeamkaje? Hebu nitupie huo uzi naona ulinipita maana naona unampiga marungu mtu hapa....lol
Siona haja ya kufanya hivyo kwasababu sio mhanga. . .Ila nashangaa mtu kama wewe ambae ni wa upande wa pili, ambae ameshashiriki kuingiza wadada wawili chaka akikandia mwenzie kana kwamba yeye ni msafi sana.Mbona wewe mgumu wa kuelewa na mwepesi wa kusahau?
Nasema hata kama it goes both ways, HATUTOLIFUMBIA MACHO HILI LA UPANDE MMOJA. kama wewe unaona upande wa pili nako kuna shida-ANZISHA THREAD YAKO, HATUNA KINYONGO TUTACHANGIA...mwenyewe si unajua mtu anaona kwake vizuri zaidi?
About me: ingekuwa vyema ukaelewa, KAMA UNGEJUA KILA MTU ALIWAZALO JUU YAKO, YOU WOULDN'T WITHSTAND LIFE.