ndio utie akili......
ndani ya miezi minne unatangaza ndoa......
nani alikwambia huwa tunataka kuolewa haraka haraka.....
au mnadhani huwa na sisi hatuhitaji kuwachunguza.....
next time usirudie......ni kosa kubwa sana kushobokea ndoa mapema.....
pole lakini.....itapita utazoea....ndio maisha......
Siona haja ya kufanya hivyo kwasababu sio mhanga. . .Ila nashangaa mtu kama wewe ambae ni wa upande wa pili, ambae ameshashiriki kuingiza wadada wawili chaka akikandia mwenzie kana kwamba yeye ni msafi sana.
Hehehe. . .I personally au unaongelea generally? Binafsi kwa namna ambavyo nipo straight na watu wengine. . . hamna kinachoweza kunifanya nishindwe kukabiliana na maisha kisa mawazo ya watu wengine juu yangu.
Ndani ya miezi 4 unapeleka barua! Ningekuwa mimi ningekukatalia hata kama sina mchumba.
kweli dear, akajipange asirudie makosa. Tena sio kutangaza ndoa tu, hata kuvalishana yale mapete ya uchumba ni no no no no.....
Just one question. . .Lizzy, Mimi si wa upande wa pili-Mimi ni mhanga wa upande wa kwanza...case yangu ni very different na kinachoongelewa hapa mummy. Sikudanganya hata kidogo, Nilikuwa dilemma kama wengine baada ya kuonjeshwa vitu vya next level...Ila niliact wisely, sikutenda dhambi, nikaomba ushauri, nikaufuata na sasa nasubiri matokeo...Sijamuingiza mtu chaka kwa sababu kila mmoja alikuwa anajua hali halisi
Hebu acha kulipaka tope my good name hapa...
Just one question. . .
Kama kila mmoja alikua anajua hali halisi iweje 'mchumba' wako hakua anajua unafall kwa mwanamke mwingine ila sasa anajua kwamba ulifall?
USINGEJUA ungefall . . . ?Haya hiyo inaruhusiwa. . .ila ulitakiwa kutoa taarifa wakati UNAFALL.Hapo nisingekuita wale wale maana ungekua mmoja wa wale wakweli.Kwa sababu hata mimi mwenyewe nilikuwa sijui kama ningefall nikajajua baadaye kama yeye!
Just so you know(nilikaribia kuanguka-sikuangukia pua in love with her)
USINGEJUA ungefall . . . ?Haya hiyo inaruhusiwa. . .ila ulitakiwa kutoa taarifa wakati UNAFALL.Hapo nisingekuita wale wale maana ungekua mmoja wa wale wakweli.
wanaume huwa wanadhani ni wanawake wote wana mipresha ya kuolewa.......
kumbe kila mtu anakuwa na mipango yake........
ndani ya miezi 4......inatosha kuwa umeshamjua mtu kweli....?
saa hiyo ana kichaa na kipindi cha mawingu kimeshapita ni mpaka miezi6 tena....hujaingia mkenge....?
aaah....puliiiz jamani......he!
I've just said sikufall, nilitumia busara zangu kujishikilia nisianguke! na akajua kwamba nilikaa ukingoni kwenye hatari ya kufall...
Bibie ali'complicate' mambo"Yani pet money bora ungecheat, nikajua shetani kakupitia na mambo yanaweza kwenda sawa, but you being in love with another woman? binti kalia sana!"
Hiyo sehemu/mawazo/fikra za wewe "being in love with another woman" alizitoa wapi? Au ndo unataka kuniambia kwamba waweza kuwa in love BEFORE falling in love? Au ndo bibie aliongezea chumvi?
Bibie ali'complicate' mambo
Tatizo lao huwa wanajua kila mwanamke anataka ndoa, ni kweli asilimia kubwa ndivyo walivyo mtu anakwambia bora niingie tu halafu nitoke lakini sio woote ingebidi asome mazingira kwanza. Anaetaka ndoa fastaa utamjua tuuu kaka G. Ila mimi nahisi kwa huyu ilikua kinyume jamaa ndio alikua anamuwashawasha wa kuoa nasi mwanamke.
Bi dada alijua anakula kitarehee tu wakati mchumba wa ukwee yuko DUBAI hahahaaaa
I doubt it. . .