NakaziaVita dhidi ya umaskini haijawahi kuwa nyepesi!
Nami nakaa hapa.Vita dhidi ya umaskini haijawahi kuwa nyepesi!
CCM HAWAAMINIKI NI MATAPELIHii kaulimbiu imekaa kipigaji sana.
Haitatufikisha popote kama Taifa.
Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia kwenye umaskini uliotopea.
Kazi ya kuendeleza Taifa, si lelemama.
Kile anachokifanya Rais Capt. Ibrahim Traoré wa Burkina Fasso, ndo kinachopaswa kuigwa na kila Taifa la Kiafrika linalotaka kuwakomboa raia wake toka kwenye umaskin
Vita dhidi ya umaskini haijawahi kuwa nyepesi!
Fanya kazi slogan haikuletei hela na WWE sio SI unit ya slogansHii kaulimbiu imekaa kipigaji sana.
Haitatufikisha popote kama Taifa.
Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia kwenye umaskini uliotopea.
Kazi ya kuendeleza Taifa, si lelemama.
Kile anachokifanya Rais Capt. Ibrahim Traoré wa Burkina Fasso, ndo kinachopaswa kuigwa na kila Taifa la Kiafrika linalotaka kuwakomboa raia wake toka kwenye umaskini.
Vita dhidi ya umaskini haijawahi kuwa nyepesi!
Mimi kwenye umri wa kustaafu nlitamani sana maximum usizidi 45 ili kutoa fursa ya kufanya kazi na kwa vijana wengine pia.Tuna viongozi wapuuzi walioshindwa kutekeleza majukumu Yao na kuleta sababu zisizo na msingi wowote.
Kuna Mass failure kidato Cha nne Kwa nini hao ndio iwe lazima kwenda VETA??
Degree zikienda VETA, Diploma VETA, Certificate VETA, form Six VETA, form four VETA na darasa la saba VETA baada ya miaka 10 tu HAKUTA KALIKA tutarudi kule kule tu.
Sera na sheria za Nchi inabidi zibadilishwe
1., toa passport Kwa vijana wote nchini
2. Weka sheria vijana wote kutoka kidato Cha nne waende VETA japo miaka 2
3. Toa mikopo nafuu Kwa makundi ya vijana 100 waliotoka VETA.
3. Punguza umri wa kustaafu kutoka 60 hadi 55.
4. Ondoka nafasi zote za uteuzi ziwe za ushindani.
5. Weka mazingira rafiki ya biashara
TATIZO SERIKALI YA CCM HAWAWEZI KUFANYA HAYO NI WAOGA NA INCOMPETENT...
Asante.