Hii style huwa inaitwaje?

Hii style huwa inaitwaje?

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Kuna ka staili hivi nakutanako nako kwa wanawake hasa wenye smartphone. Nimekaona kwa wanawake nilikua nao zaidi ya watatu.

Yani unakuta mwanamke mkizinguana anaweka picha ya kijeba kingine kwenye profile DP. Sasa hii huwa ina maanisha nini.

Kwasababu nimeshuhudia kwa wanawake zangu fulani hivi halafu hawajuani hata kidogo
Sasa nashindwa kuelewa huwa wanaambina au inatokea kwa wanawake wa sikuhizi kimjini mjini. Na huwa ina maanishanini .

Sababu wakiweka za hao vijeba vyao mwanaume nachuna ya ni DP zangu natupia mabastola, mabendera ya ukawa, yani natupia madude dude ambayo hayana uhusiano na mapenzi. Baada ya muda hivi naona vinajileta na staili zao za... Mamboo( in girl voice)

Ila wanaume kukaza kiasi hiki inataka moyo aseee...

Sema hiyo staili yao ina maanisha nini wadau....
 
Mimi huwa sinaga time na DP hata nikute kawekwa me yoyote message naipitisha hapo hapo bdae unaona anajistukia ili muanze mkujadili aliepostiwa
 
ukiona hivo vaa ndala usepe, hizo ni dharau
 
maana wapenda keki tupo wengi, we ukizingua mie natafuna tu, kwako used kwangu mpya dadeki
 
Tafta pesa mkuu achana na dp za waschana ...huhuhu
 
Back
Top Bottom