Poleni sana wanawake wote kwa kazi ngumu za kulea familia
Kumekuwepo na namna mbalimbali za ufungaji wa mikanda kwa hawa wanawake.Kuna wale wanaojibinya au funga karibu na matiti yao,wengine tumboni,kiunoni na hata mlegezo pia.
Kuna wale wanaovaa magauni mapana ni kweli lazima wafunge mikanda ili kujikinga na dhahama inayoweza kusababishwa na upepo.
Je kwanini wanawake mnapenda kufunga mikanda ili hali nguo mnazo vaa zinakuwa tayari zimeshawabana?unamkuta binti kajifunga kamkanda kiasi cha kulazimisha kawowo na mwishowe anapata mateso ya kutembea,anatembea kama ananyatia kitu fulani hivi