Hii suala kuhusu Yanga ni kweli au ni uzushi tu?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Katika pitapita yangu kweye Magazeti nimekutana na na habari inayosema kuwa Yanga wamewahi kupigwa magori 13 huko Brazil nikaona ngoje nije hapa jf kwa kuwa watu wanatunza kumbukumbu na kuna wanayanga Wakongogwe wanaweza kulitolea ufafanuzi.
Naomba wenye ukweli wa hili watiririke
Karibuni
 
Eti mashabiki wa Yanga wanauliza hilo ni gazeti gani?
 
Mimi nakumbuka 7-0 walifungwa Morocco Na Laja kasablanca.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo ni akili za watu waliokosa ubingwa miaka mitano mfulilizo.
Lazima wapate namna nyingine ya kujifariji.
 
Hizo ni akili za watu waliokosa ubingwa miaka mitano mfulilizo.
Lazima wapate namna nyingine ya kujifariji.
Lakini walifungwa au hawakufungwa? Hiyo ndio hoja ya msingi
 
Kuna timu nyingine kubwa ya hapa nyumbani inasemekana ilikula 7_0 huko bondeni mwaka Jana tu,na kwa sababu kichapo kilikuwa kimya kimya basi viongozi na wachezaji wakalishana yamini kuto toa siri hiyo
 
Mkude alitoa siri akavuliwa unahodha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…