Duuu basi ni hatari. Kumbe ndio sababu kuu ndugu?Mkude alitoa siri akavuliwa unahodha.
Na timu ya walinzi wa hoteli.Bi Hindu fc mwaka jana tu walikula wiki kule bondeni
Wao walipofungwa walijitahidi habari zisivuje, lakini imeshindikana. SDunia ilivyo pana na wazi, itawezekanaje watazamaji na wanahabari kwenye mechi iliyo rasmi, hata ya kirafiki kama hiyo inayosemekana mmoja kufungwa 13-0, wamudu kudhibitiwa mpaka matokeo yake yasijulikane na wadau waliobaki? Ina maana watu wote walioshiriki na kushuhudia mechi hiyo nao walilishwa yamini? Neno la kuambiwa ............Na timu ya walinzi wa hoteli.
Kuna timu nyingine kubwa ya hapa nyumbani inasemekana ilikula 7_0 huko bondeni mwaka Jana tu,na kwa sababu kichapo kilikuwa kimya kimya basi viongozi na wachezaji wakalishana yamini kuto toa siri hiyo