Hii Taarifa ya Uandikishaji Ina Ukweli Gani ndg Mtanzania?

Hii Taarifa ya Uandikishaji Ina Ukweli Gani ndg Mtanzania?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Ujomile?

Nimeona hizi taarifa mbili tofauti nikapata swali moja, je na hawa walioandikishwa na daftari kupotea wamo?.

20241021_221250.jpg

👇🏾👇🏾

20241021_220316.jpg
 
Mchengerwa kaliibia taifa na kulidanganya. Takwimu zake zimejaa uongo kwa 100%.
Katika uhalisia, huenda watanzania halisi waliojiandikisha hawafiki hata milioni tano.
Unadai takwimu zake zimejaa uongo kwa 100% wakati wewe nawe unadai ^huenda^???
 
Unadai takwimu zake zimejaa uongo kwa 100% wakati wewe nawe unadai ^huenda^???
Unapomsaididia huyu mkwe na sisi tusaidie hili, uandikishaji umefanyika kwenye makaunta buku siyo kimtandao, ni vipi ndani ya saa 12 ameweza kukusanya makaunta buku yote ya vijijini na mijini na kujumlisha wote waliojiandikisha? Kumbuka uandikishaji haukufanyika kimtandao.
USISHIRIKI UONGO.
 
Sasa unaona? Kumbe ungepaswa kuuliza swali hilo na wala si kutoa hitimisho ambalo huna uhakika nalo.
 
Back
Top Bottom