Hii tabia inakera kwenye daladala

Hii tabia inakera kwenye daladala

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Inakuaje mtu unafungulia muziki au mahubiri kwenye gari ya daladalatena kwa sauti kubwa.

Kwani nani kasema anataka kusikiliza unachosikiliza si ununue Earphone.
 
Inakuaje mtu unafungulia mziki au mahubiri kwenye gari ya daladalatena kwa sauti kubwa.

Kwani nani kasema anataka kusikiliza unachosikiliza si ununue Earphone.
Boda boda na Bajaj usiwasahau
 
Back
Top Bottom