Hii tabia inakera sana

Neutral catalyst

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
261
Reaction score
147
Kuna tabia ya baadhi ya hwa mascholar wa universities kudharau vyuo vingne na kusifu wanavyosoma kuwa ndo bora hii tabia inakera sana.kma na wewe mwana jf unakereka hebu wape neno la kuwarekebisha hwa malimbkeni wa majina ya vyuo..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
yaah hii inakeraa sana....!

but kuna tume imeundwa kukomesha hii tabia.

all in all naunga mkono hojaa.
 
Ehe mkuu Darius tume imeundwa ? Aha aha sipati picha kama Excel atakosa kua kwenye kamati hiyo hope mwenyekiti wake atakua yule jamaa alietumwa ushirika kuleta data aha aha JF RAHA KWELI KWELI.

yaah hii inakeraa sana....!

but kuna tume imeundwa kukomesha hii tabia.

all in all naunga mkono hojaa.
 
Last edited by a moderator:
Ehe mkuu Darius tume imeundwa ? Aha aha sipati picha kama Excel atakosa kua kwenye kamati hiyo hope mwenyekiti wake atakua yule jamaa alietumwa ushirika kuleta data aha aha JF RAHA KWELI KWELI.

hahahaaa!!! mkuu umejuaje? au ulikuwa unanichungulia wakati namvunja profesa mpigamsuli?

hahahaaaa!!

mnamuona profesaaaaa???

 
Last edited by a moderator:
Ninakipenda chuo changu... napenda kukisifia pia.... ts my right
 
[FONT=Bitstream Charter, serif]LECTURE BY HON. DR. FRANK-WALTER STEINMEIER[/FONT]



[FONT=Bitstream Charter, serif]This is to inform the University of Dar es Salaam community that on [/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif]Tuesday 25[/FONT][SUP][FONT=Bitstream Charter, serif]th[/FONT][/SUP][FONT=Bitstream Charter, serif] March 2014[/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif], the [/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif]Federal Foreign Minister of Germany, Honourable Dr. Frank-Walter Steinmeier,[/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif] will visit the University of Dar es Salaam and deliver a Public Lecture on[/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif] "50 years of Cooperation between Germany and Tanzania"[/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif] at the Mwalimu J.K. Nyerere Mlimani Campus, [/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif]Nkrumah Hall from 15:00 hrs to 16:00 hrs.[/FONT]


[FONT=Bitstream Charter, serif]Hon. Dr. Steinmeier has a distinguished career in German politics. He was a close aide of Chancellor Gerhard Schroder, serving as Chief of Staff in the German Chancellery from 1999 to 2005. He subsequently served as Foreign Minister (2005-2009) and Vice Chancellor (2007-2009) in the Grand Coalition Government of Chancellor Angela Merkel. Before being appointed to his current position in the German Federal Government, Hon. Steinmeier was also the Chair of the SPD Parliamentary group.[/FONT]


[FONT=Bitstream Charter, serif]The Vice-Chancellor, Prof. Rwekaza S. Mukandala, cordially invites all members of the University community to attend this important lecture.[/FONT]


[FONT=Bitstream Charter, serif]For security purposes on that day, members of the University community and invited guests are kindly urged to be[/FONT][FONT=Bitstream Charter, serif] seated in the Hall by 14:00 hrs.[/FONT]
 

thanx kwa taarifa
 
Ni ulimbukeni tu jiulize ni Watanzania wangapi wamesoma vyuo bora zaidi vya Ulaya na Marekani hujawahi ona wameanzisha uzi wa kusifia vyuo hivyo,ni utoto tu,utazani ndo wasomi wa kwanza nchi hii kumbe tangu enzi za mkoloni walikuwepo wasomi.

Mbaya zaidi mtu anabwabwaja hata chuo hajamaliza! hajua kama atapata wapi kazi baada ya Chuo,maana wengi mtaji wenyewe mgogoro hawezi jiajiri mwenyewe....elimu ndogo matambo kibao...elimu kubwa tambo kidogo sana,uwezo mdogo wa akili maneno debe...uwezo mkubwa wa akili maneno kwenye kijiko cha chai.
 
Ile dhoruba le proffeseri mpigamsuli hataisahau.

Le Profeseri Na Ilimwingia Mpaka Akakoma ASIPOOMBA RADHI NALETA PICHA YAKE HUMU JAMVINI,NIPO USHIRIKA WA NEEMA HAPA ANAPAJUA MPAKA MUCOBS NAULI NI MIA NNE TU HA HA HA
 
Last edited by a moderator:
Be proud of yours in a positive way.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…