Hii tabia si nzuri

Hii tabia si nzuri

Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??[emoji16]

Mnaboa sana...
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] pata chupa ya mvinyo kisha mfunge mapazia maana kesho ni siku ingine....

OrtoPilot
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
16e16ef36386daed1dbd1f12e260284f.jpg
 
Hahaha,hao hata ukimkatia ticket ya ndege ya go and return atakuomba na hela ya tex tu.
 
Demu wangu akiomba nauli nauli peke yake maana wakisema nauli wanatarajia wekundu au 5000 sasa nampa 500 iliyosimama
 
Dushee ulinyonye halafu nauli nikupe weeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom