Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 749
kweli inabidi niwatandike tu vibao aseeHiyo ni tabia mojawapo ya Wapumuliwaji. Kama huipendi fanya hivi:-Ukiona unamwambia asikushikeshike kiboya halafu anaendelea mpige kwenzi au mbata ya ukweli huku ukimwambia acha tabia za kishoga au za kis*enge bila kujali urafiki wenu. Ila kama unapenda na kukubaliana na hiyo tabia basi mpe support mwenzio.
"Kupanga ni kuchagua"
daa asee hua inaudh sana kk .Au wale wakuegemea wenzao..mmekula pozi mahali amekunja mkono wake af kauegemezea began kwako... ujinga huu nauchukia
kama ni hivyo bas mtaani kwenu mna tabia za ajab ajabUswazii kwetu poa tu, asikushike kichwa tu.
Na wewe huwa unakerwa?Msg sent and delivery
YAANI UNADHIHIRISHA KABSAAA WEWE NI WA UPANDE HUU ......GAKuna tabia ya baadhi ya wanaume kupenda akiongea jambo basi akushike begani or what, huwa inanikera sana sipendi mwanaume mwenzako anaongea na wewe halafu anataka kutouch any part of my body.
Naichukia na huwa siifanyi na anaeifanya huwa nakuwa sipo comfortable kuongea nae na huwa nashindwa kumdefine kabisa.
Labda nakosea nilivyoandika mtanirekebisha ila hivi vitu vipo and kama hupendi kuropoka utakuta jitu linaongea huwa najiuliza haya mazoea ndo yale ya utoto mnatembea au ni nini? Always natanguliza interest nipo against homosexuality 200%.