Hii tabia ya baadhi ya wanaume, kuongea huku anakushika bega inakera sana

Mi cpendi tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono, au unakuta jitu linakushtukizia ujaliona linakuziba macho kwa nyumba( ukute limeshika pum*u zake msalan afu linakugusa gusa au kukushika shika tu
I hate this kwa kweli
 
kuna watu hua wanahis kila wanachokifanya kwa wengine ni sahihi, pasipo kuwaza wanajisikiaje
 
bora hata hiyo wengine wanafika mbali wanashikana viuno kabisa ukiuliza unaambiwa eti ni mabest friend wakiume
 
Mi cpendi tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono, au unakuta jitu linakushtukizia ujaliona linakuziba macho kwa nyumba( ukute limeshika pum*u zake msalan afu linakugusa gusa au kukushika shika tu
I hate this kwa kweli

duh mwanaume huyo? anakuja nyuma yako anakufumba macho uotee?
 
Nadhani hii haihusiani na ushoga ila ni gesture ya mtu kukuona wewe kama dogo kwake
Jamaa hapa aliona ni ufala akapinga huo mchongo
 
Mkuu yaani umeandika issue ambayo ni kweli ipo na inakera sana. Sisi wanaume kushikana labda kushake hands ila yapo majitu kila sentensi mara kakushika bega mara paja mara mkono inakera sana. Mimi kuna siku nilikaa na majitu ya hivyo mawili moja kulia lingine kushoto kila rangi niliona ilibidi nihame siti was.... nge kweli watu wa hivyo. Halafu yako kibao, very disgusting!!!

mijitu ya ivo hua nashangaa haijistukii Kabsaa .maana unakuta mingine imeenda shule hata haijui Kantian ethics
 
Du alikushika bega tu mkuu.... ? Naona kakurushia stimu....hata mm na hate hizo swagz za kimombasa....
 
Au wale wakuegemea wenzao..mmekula pozi mahali amekunja mkono wake af kauegemezea began kwako... ujinga huu nauchukia
Sasa back to high school kulikuwa na huyu mshikaji anapenda Ku nong'oneza balaa.. Kila kitu ni whispering.. Hata muwe Wawili in a room, he will somehow bend towards your ear and try to whisper... Basi tukawa tundiss sana ndo akaja kupunguza... Hii hali inaboa sana aiseee
 
Du alikushika bega tu mkuu.... ? Naona kakurushia stimu....hata mm na hate hizo swagz za kimombasa....
kuna mijitu ikiongea kama machiz kk, Hivi we unamgusa mwanaume mwenzio unataka nn? yaani sio staha kabsaa. Halafu ni kama undermining pia
 
kuna mijitu ikiongea kama machiz kk, Hivi we unamgusa mwanaume mwenzio unataka nn? yaani sio staha kabsaa. Halafu ni kama undermining pia
Unaujua wimbo Wa 2pac unaitwa hit em up....hahaa pole mkuu...that punk is rat ass
 
Teh Teh Teh!! Wewe umeshikwa bega tu😵😵.. Kuna wale walioshikwa tako wakavunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…