hii sio dalili ya ushoga ila nami naichukia sana....
ukiwa na rafiki wa hivyo we usiwe unampa ushirikiano kila akifanya hivyo mwisho wa siku atakushtukia tu.
hiyo ni tabia tu, tabia za kike na most of them utagundua wanapenda sana kuchekacheka bila sababu maalumu, wanapenda kugonga mikono wakiwa wanacheka, akifurahi anainama chini na tabia nyingine kama hizo... so dawa si kuwatenga ni kuwaambukiza tu tabia za kiume