Hii tabia ya hawa YouTubers inakera, na ni ukomo wa ubunifu

Hii tabia ya hawa YouTubers inakera, na ni ukomo wa ubunifu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
Waimbaji wa muziki wa dini na kijamii wanasumbua sana WhatsApp inbox.

Kila kukicha unakuta naomba subscribe kwenye channel yangu, au uangalie hii video yangu KUUNGA Mkono huduma yangu.

Nadhani hii ni poor Digital marketing plan. Wekezeni kwenye content sisi tutazitafuta tu.

Nguvu kubwa msiweke kwenye kutafuta wafuatiliaji, wekeni kwenye kufanya hiyo content itafutwe.

Mimi yangu ni hayo
 
Wekezeni kwenye content sisi tutazitafuta tu.
Unadhani ni rahisi kihivyo?
Kuna watu wanaitwa Digital content creator wataweza kuwalipa? Eg. Mx Carter

Buda hiyo mbinu inatumika Asia na Africa na wahindi huenda ndio master wa hicho kitu, unakuta muhindi mwenye content za kawaida kabisa ila ana subscribers hadi 10 million.
 
Back
Top Bottom