Hii tabia ya wanaume kukata viuno kuliko wanawake siyo sawa

wanaume siku hizi wana viuno vilaini kushindwa wanawake.
 
Kwa kweli haijakaa sawa kabisa.

Mshawaona Ali Kiba na Diamond wanavyokata viuno?
 
acheni kutusingizia wanaume wa siku hizi kila kitu sisi.. haya mambo yameanza tangu enzi za Arus Mabele na Pepe Kale.
hao walikuwa wanatikisa matumbo tu hawana lolote........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jukwaani tu kitandani hamna kitu
wengine hadi kitandani usiombe kukutana nao utanena kwa lugha..........

wamakonde .....wazaramo ni noma aiseeee.

NB.
Usiniulize nimejuaje.
 
Ha ha ha.. Miuno ya bob junior a.k.a miuno ya nazi mbata... Wapi seka manala....
 
wengine hadi kitandani usiombe kukutana nao utanena kwa lugha..........

wamakonde .....wazaramo ni noma aiseeee.

NB.
Usiniulize nimejuaje.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi [emoji85] [emoji85]
 
hao walikuwa wanatikisa matumbo tu hawana lolote........
sijasema wao nimesema tangu enzi zao, angalia nyimbo za koffi Olomide amigizileee ayayaaa amigizilee na kocho kocho. viuno hivihivi unayoviponda ndo vinawafanya mkimbilie kwa wakongo, nyie madem aliewaroga kashakufa hamjielewi mnapenda nini [emoji52] [emoji52]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…