Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Hii kibokoAkianza kukuambia mama yake mgonjwa uwahi na wewe kumwambia mimi pia mjomba wangu yupo muhimbili tangu juzi nina mshughulikia huko mpaka pesa zinaniishia kwa ajili ya matibabu na vipimo. Utakuwa umemuwekea full stop ya kukuomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo ushapita au ndio unafukuziaAkianza kukuambia mama yake mgonjwa uwahi na wewe kumwambia mimi pia mjomba wangu yupo muhimbili tangu juzi nina mshughulikia huko mpaka pesa zinaniishia kwa ajili ya matibabu na vipimo. Utakuwa umemuwekea full stop ya kukuomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Akituma text direct?...mfano"mambo??,,Mama yangu mgonjwa,naomba unitumie 50k nimuuguze"..utachomokaje?Akianza kukuambia mama yake mgonjwa uwahi na wewe kumwambia mimi pia mjomba wangu yupo muhimbili tangu juzi nina mshughulikia huko mpaka pesa zinaniishia kwa ajili ya matibabu na vipimo. Utakuwa umemuwekea full stop ya kukuomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea jukwaaHalo JF.
Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela.
Wanadai wananaombwa kuanzia shilling 30,000 hadi laki Tano kulingana na hadhi ya mwanaume. Wanazingizia vipimo au kununua Dawa. Wanadai ktk tafiti wamegundua wakinamama hao huwa sio wagonjwa.
Ndiyo maana Mimi nauliza hii tabia wasichana mtaacha lini?
Halo JF.

Hata wewe ni mmoja wao kwani?
Dawa ni kuwaambia akuoridheshee dawa zote alizo andikiwa mgonjwa na akuelekeze yupo hospital gani ili ulipe na billHalo JF.
Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela.
Wanadai wananaombwa kuanzia shilling 30,000 hadi laki Tano kulingana na hadhi ya mwanaume. Wanazingizia vipimo au kununua Dawa. Wanadai ktk tafiti wamegundua wakinamama hao huwa sio wagonjwa.
Ndiyo maana Mimi nauliza hii tabia wasichana mtaacha lini?
Mwambie tuma namba nikununulie huku kisha natuma smsHata LUKU poa siku hizi mzee baba kabla hunamaloza kisha versse utaskia" samahani una efu tano hapo umeme umetuishia hapa nyumbani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie nakuja huko huko ili nimletee na matunda kabisaAkituma text direct?...mfano"mambo??,,Mama yangu mgonjwa,naomba unitumie 50k nimuuguze"..utachomokaje?
Tuma description nione hizo dawa mikuchulie kwa bima yanguAkituma text direct?...mfano"mambo??,,Mama yangu mgonjwa,naomba unitumie 50k nimuuguze"..utachomokaje?
Inabidi ujifanye simu imekataSikuhizi wana hii kitu baada ya story ndefuuu ........my nikuambie kitu......ukilogwa tu kukubali akuambie kifuatacho ITV n mzinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nzuri sana