Hii Tanzania Loans ni taasisi inatambuliwa kweli?

Hii Tanzania Loans ni taasisi inatambuliwa kweli?

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Habari wadau, nimeona inahamasishwa kule facebook na mtu mwenye id na picha ya mh zitto kabwe kwamba watanzania wachangamkie mkopo unaotolewa na taasisi hii na taarifa zaidi kuhusu hii taasisi ya fedha inapatikana hapa: www.tanzania-loans.wapka.mobi
Kama kuna yeyote mwenye ufahamu na hiki kitu kuhusu uhalisia wake jamani atujuze. Binafsi naona kama ni ya kitapeli japo ina nembo ya serikali
 
Back
Top Bottom