lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
Hi there...
Hivi hii technology ya VAR mbona inachukua muda mrefu kufika hapa bongo??
Ingesaidia sana kupunguza makosa mengi ya marefa wetu kwa sababu kuna makosa mengine dah hadi unajiuliza refa hakuona ama kafanya makusudi??
Kuna maamuzi mengine marefa wetu hufanya na kupelekea kuathiri timu husika kwa namna moja au nyingine.
Kuna makosa mengine hata ambaye hajaenda course ya urefa unaona kabisa kuwa refa KAPUYANGA kabisa yaani.