Hii tekinologia ya VAR itafika lini hapa bongo?

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
Hi there...

Hivi hii technology ya VAR mbona inachukua muda mrefu kufika hapa bongo??

Ingesaidia sana kupunguza makosa mengi ya marefa wetu kwa sababu kuna makosa mengine dah hadi unajiuliza refa hakuona ama kafanya makusudi??

Kuna maamuzi mengine marefa wetu hufanya na kupelekea kuathiri timu husika kwa namna moja au nyingine.

Kuna makosa mengine hata ambaye hajaenda course ya urefa unaona kabisa kuwa refa KAPUYANGA kabisa yaani.





 
VAR ya nini wakati kuboresha hata vyoo tu viwanjani tumeshindwa
 
VAR ya nini wakati kuboresha hata vyoo tu viwanjani tumeshindwa
watakunya hata vichakan lakini refa akitenda haki kila team itaondoka na aman mioyon mwao
 
VAR uipeleke Karume au Sokoine hata yenyewe itagoma kufanya kazi. Viwanja kama mashamba ya mpunga
 
Mmeshindwa kufungaa taaa kwenye viwanja mtaweza var [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata ubao wa kibadilisha wachezaji wameshindwa kununua wanabandika makaratasi sembuse VAR?
 
Hata ubao wa kibadilisha wachezaji wameshindwa kununua wanabandika makaratasi sembuse VAR?
kwani VAR gharama yake ni bei gani[emoji848][emoji848]
 
Swala sio garama, miundombinu yetu haiwez weka VAR, KWANZA kifup TU, Ili uwe na var unahitaj kua na camera zaid ya 40 katika kila hatua Tano za miguu, uwangaji, so kwa makadirio tunahitaji camera 800, na hiz ni zle ndogo ambapo garama zake sio za kawaida, bongo Azam tv kajitahd mpka sasa ana kamera 15 na aerial zpo 5 na muulze nei ya kila moja, na lens yake ni BEI gan, na inabadlishwa kwa muda gan, usione havifanyiki ni garama sana mkuu tuanze na hili la vwanja kwanza ndo tuje kweny VAR, kama mzozo na waamuz bas uwekwe sheria kali tu na isimamiwe ipasavyo , mungu atusaidie wawekezaji kama bakhressa Ili tukuze ligi na VAR ztafata
kwani VAR gharama yake ni bei gani[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…