Hii teknolojia ya kisafisha taa ukungu ni kweli na haina madhara kwenye taa?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Habari za hapa
kwei haiaribu taa baadae kweli na ni kweli taa inarudi kama mpya au ni story tuu?
IMG_0986.JPG
 
Gari yangu taa ya kushoto ndiyo inaukungu...ya kulia haijapauka...na zina miaka mitano tangu ninunje gari
Akianza moja tu utaona tofauti na ya upande mwengine. Na hawa hawalipwagi mpaka wawe wamemaliza kazi yote.
 
Hii technology ni kweli kama ukipata materials halisi na hasa kama utakuwa na materials yako huyo mtu akufanyie tu au ufanye mwenyewe, mm kuna material niliagiza China HGKJ-8 hii chemical kiukweli inafanya kazi Ila inabidi uwe na muda kidogo kwani unasugua taa na misasa mitatu tofauti namba 600, 1000 na unamaliza na 2000 alafu ndio unaaply hii chemical kweli taa inarudi upya kabisa
 
Kachupa kadogo hivi eeh. Ninayo home ya taa, seat na dashboard.
 
Hiyo technolojia ni kweli kabisa. Lakini watu wengi wamelalamika kuwa baada ya kusafisha kwa mara ya kwanza, taa ilipata ukungu mapema saana.

Shida hapo ni kwamba,hawa jamaa huwa wanakosea sehemu moja. Wanafanya sehemu moja tu ya hiyo process ambayo ni clearing. Wanapokuwa wanasugua taa, wanapunguza au kuondoa layer ya juu ya clear coat ya taa ambayo ndio mara nyingi inakuwa imefubaa. Ila baada ya kuiondoa, hawairudishii. Ndio maana inayobaki inapauka kirahisi.

Kinachotakiwa ni kwamba, wakisha safisha wapakaa kitu tunaita "sealant". Hii inaongeza au kurudishia layer clear coat na hivyo kufanya idumu muda mrefu. Kama umeshawahi kuona rangi ya gari ikipakwa, utakuwa umeelewa maana ya clear coat. Ile ndio inalinda rangi yako isipauke. Na ndio hivyo kwenye taa.

Siku hizi kuna watu wanasafisha then wanaweka kama tints fulani hivi. Sijui ni za vioo au za namna gani. Hizi pia zinafanya kazi ya clear coat.
 
Elimu nzuri [emoji120]
 
Kwel hii inshu bado kama n utapel hiv ! Maana walifanya kwenye taa za gar kwa wakat huo iling'aa lkn kesho baada ya pilikapilika taa kuangalia zimeweka michirizi mpaka kero .sikushaur kufanya vijana wetu bado utaharibu taa zako
 
Dawa nunua material na ufanye mwenyewe kwa ufasaha mm nilifanya mwenyewe huu mwezi wa tatu bado inang'aa

Back
Top Bottom