Hii Teknolojia ya madish ya ving'amuzi vya TV itapotea lini? Tunaomba wahusika waendelee kubuni njia nzuri zaidi ya ving'amuzi

Hii Teknolojia ya madish ya ving'amuzi vya TV itapotea lini? Tunaomba wahusika waendelee kubuni njia nzuri zaidi ya ving'amuzi

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
husika na maada tajwa hapo juu,
Tunaomba wahusika waendelee kuchakata namna nyingine yakisasa zaidi ya ving'amuzi, kama inawezekana hata majumbani tutumie mfano wa vile vung'amuzi vya kwenye mabasi maana haya madishi imekuwa kero sana hasa kwenye swala la kuyumba, unaweza kuta umelipia leo kwa mfano, halafu karibia mwezi unakata hujaona channel yoyote sababu ni dishi kuyumba, na huwa hakuna compensation yoyote ya siku ambazo channel hazijaonekana kutokana na kuyumba kwa DISH.
 
Hilo zoezi tukwachie wewe mwenyewe

kafanye research kwa nchi za Ulaya na baba lao marekani wanatumia mfumo kama wetu ?
 
Chief, kile kidubwashika kinachowekwa kwenye Bus kinauzwa ghali sana aisee! Sema waje na wazo la kuweka line tu kama tunavyofanya kwenye cm.
 
Hilo zoezi tukwachie wewe mwenyewe

kafanye research kwa nchi za Ulaya na baba lao marekani wanatumia mfumo kama wetu ?
Sina hela za kwendea huko
 
Back
Top Bottom