Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Wakuu
Hapa kitaa kuna dada mmoja ni stookipa wa kampuni moja ya vifaa vya hardware. Huyu dada kanifuata tangu wiki 3 zilizopita ili nimfundishe twisheni ya Baiolojia, Kemia na Fizikia maana ana mikakati ya kurisiti masomo ya sayansi ili akadufue kozi ya afya pale Muhimbili hivyo alishauriwa mapemaa yabidi anione mimi ambaye ndo mkali wa hizi mambo.
Na kwa speed yake ninavyoiona huyu dada ni lazima apige "B" flat, maana yuko serious na nimempa pepa kadhaa za NECTA na mock hajawahi kupata below 60%.
Sasa huyu dada anakaa na mdogo wake ambaye kwa sasa yupo chuo mwaka wa pili. Ni mweupeeeeeeeeeeeee, kajazia na ana hips kama Agness Mmasogange. Halafu ana lips matataaaaaaaaaa kama za sandra. Sasa huyu mdogo wake kaanza kuniita shemeji wakati miye namfundisha twisheni tu dada'ake!
Sasa siku hizi kila nikifika pale kwao kwa lengo la kupiga pindi, huyu mdogo wake ananiandalia chakula na soft drinks, kisha anaweka ile track ya " Nasikia hainaga ushemeji tunakulagaaa" halafu anajipitishapitisha mbele yangu huku anacheza na kuimba huku ananilegezea jicho kwa mbali!!
Sasa sijui hajui kuwa miye nina aleji na kelele za muziki hasa ikizingatiwa ni wa singeli!!!!
Wakuu au niachane na hii tenda ya kufundisha twisheni?? Maana kila siku lazima aniwekee.