Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Wapinzani kuweni makini na hii teua teua ya wakurugenzi wapya kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Ikumbukwe kuwa Wakurugenzi watendaji ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kiufupi wao ndiyo watoa fomu na mwisho wa siku ndiyo watakaohusika kutangaza matokeo.
By the way, kwanini Wakurugenzi husika ni kutoka yale majimbo ambayo kuna upinzani? Mfano Wakurugenzi walioteuliwa Leo ni
Wilaya ya Mbeya kwa Joseph Mbilinyi (Sugu) pia inahudumia jimbo la Mbeya vijijini ambalo pia upinzani umekua sana hivi karibuni.
Wilaya ya Arusha kwa Godbless Lema.
Wilaya ya Same, ambako pia CHADEMA imetamalaki, Same Mashariki na Magharibi now CHADEMA ina nguvu kule.
Ifakara kwa Lijualikali
Je, siyo mkakati wa kumwandalia ushindi Lijualikali kwani ifakara ni CHADEMA tupu?
Wapinzani msiichukulie poa hii teua teua ya Wakurugenzi, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu siyo bure, everything happens for a reason.