mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Maumivu yakizid mwone daktariMechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road
Povu ruksaa
Mkuu wewe ni mwananchi lia lia. Nini kimekusibu hadi uishambulie timu yako?Mechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road.
Povu ruksaa
kwa hiyo mpira huo uliochezwa ndio kuna uwekezaji?Mpira ni uwekezaji
Mkuu kwani ukiwa shabiki wa timu ndio uwe taahira kiasi cha kushindwa kuona mapungufu ya timu? We umeona wapi timu ipo nyumbani inacheza na timu dhaifu halafu unapoteza muda? Washabiki wametoka sehemu mbalimbali kuja kuona timu ikipata ushindi. [emoji706][emoji706][emoji706]Mkuu wewe ni mwananchi lia lia. Nini kimekusibu hadi uishambulie timu yako?
Nani kolo? Hivi nyie ndio mnasababisha Manara aonekane alikuwa sahihi?MAKOLO Mmepata kombe la kufa kiume
Huyo ni utopolo mwenzako,MAKOLO Mmepata kombe la kufa kiume
Kuchota akili za Mbumbumbu tu ndiyo dhamira ya Mleta mada, kumuelewa ni lazima uwe umesoma chini ya mbuyu[emoji1]Mkuu wewe ni mwananchi lia lia. Nini kimekusibu hadi uishambulie timu yako?
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji373]Kuchota akili za Mbumbumbu tu ndiyo dhamira ya Mleta mada, kumuelewa ni lazima uwe umesoma chini ya mbuyu.[emoji1]
Huu mwaka unalo we Mbumbumbu, Ulaya Arsepimbi wanakutesa, Bongo pia Kolowizards wanakunyanyapaa daaah [emoji23]Huyo ni utopolo mwenzako,
Haya sasa utopolo mnaruka na kukanyagana[emoji1787]