Hii timu inasajili wachezaji iliyowaroga wakiwa wapinzani

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wapo wachezaji wengi wakiwa timu pinzani wanashindwa kabisa kuonesha kiwango hususan wanapokutana nao.
Unaweza hata ukadhani ni wachezaji wasio na kiwango kinachoimbwa.
Hata hivyo utashangaa ndio wachezaji wanaosajiliwa na club hiyo iliyowaroga na kwa vile wakienda kwao wanatengua uchawi,basi unawaona wamekuwa wapyaa na wanatisha.
Mfano utakuja kuona mengi sana kwa mtu kama Sowah.
Unaweza kujiuliza alikuwa wapi Afrika hii kwa kiwango atakachoonesha!
Hao wazee wenu ni wataalamu wa mazingaombwe sana.
 
Inabidi upewe tuzo, hakuna anayekuzidi hapa jukwaani kwa kuwaza ujinga na upumbavu. Hujawahi kutendea haki ubongo uliopewa. Yaani una hoja za kitoto haswa ni wazi una upeo mdogo sana
 
Kwa hii promo anayopewa Chama na Watanzania mwakani atakuwa Galasa la kutupwa...ila amaefanikiwa kupiga Hela za mwisho mwisho ktk Soka lake! Unagombewa na Timu kubwa ktk umri wa miaka 33+ MUNGU AKUPE NINI!
Uchawi hata Zambia 🇿🇲 upo.
 
Wapo wachezaji wengi wakiwa timu pinzani wanashindwa kabisa kuonesha kiwango hususan wanapokutana nao.
Unaweza hata ukadhani ni wachezaji wasio na kiwango kinachoimbwa.
Hata hivyo utashangaa ndio wachezaji wanaosajiliwa na club hiyo iliyowaroga na kwa vile wakienda kwao wanatengua uchawi,basi unawaona wamekuwa wapyaa na wanatisha.
Mfano utakuja kuona mengi sana kwa mtu kama Sowah.
Unaweza kujiuliza alikuwa wapi Afrika hii kwa kiwango atakachoonesha!
Hao wazee wenu ni wataalamu wa mazingaombwe sana.
Ukitumia hata 10%ya muda unaotumiabkupist ujinga wako humu utafika mbali.
Nikuoe mdano mdoho tu kukusaidia. Kai Harvez, Timo Woerner, Pulis, Hadon Sancho wote walitamva Bundesliga. Walivyojwenda EPL walirigwa ba nani.?
 
Mashabiki wa Simba ni tatizo Sana, mpaka Leo mnaamin uchawi?
Uchawi wenu hatari sana!
Angalieni wachezaji wa Simba akiwepo Kramo..anasajiliwa na hachezi ....wanaocheza wakiwa Simba ni wazee,wakienda yanga wanakuwa under 20!
 
Back
Top Bottom