Inabidi upewe tuzo, hakuna anayekuzidi hapa jukwaani kwa kuwaza ujinga na upumbavu. Hujawahi kutendea haki ubongo uliopewa. Yaani una hoja za kitoto haswa ni wazi una upeo mdogo sanaWapo wachezaji wengi wakiwa timu pinzani wanashindwa kabisa kuonesha kiwango hususan wanapokutana nao.
Unaweza hata ukadhani ni wachezaji wasio na kiwango kinachoimbwa.
Hata hivyo utashangaa ndio wachezaji wanaosajiliwa na club hiyo iliyowaroga na kwa vile wakienda kwao wanatengua uchawi,basi unawaona wamekuwa wapyaa na wanatisha.
Mfano utakuja kuona mengi sana kwa mtu kama Sowah.
Unaweza kujiuliza alikuwa wapi Afrika hii kwa kiwango atakachoonesha!
Hao wazee wenu ni wataalamu wa mazingaombwe sana.
Uchawi hata Zambia 🇿🇲 upo.Kwa hii promo anayopewa Chama na Watanzania mwakani atakuwa Galasa la kutupwa...ila amaefanikiwa kupiga Hela za mwisho mwisho ktk Soka lake! Unagombewa na Timu kubwa ktk umri wa miaka 33+ MUNGU AKUPE NINI!
Ukitumia hata 10%ya muda unaotumiabkupist ujinga wako humu utafika mbali.Wapo wachezaji wengi wakiwa timu pinzani wanashindwa kabisa kuonesha kiwango hususan wanapokutana nao.
Unaweza hata ukadhani ni wachezaji wasio na kiwango kinachoimbwa.
Hata hivyo utashangaa ndio wachezaji wanaosajiliwa na club hiyo iliyowaroga na kwa vile wakienda kwao wanatengua uchawi,basi unawaona wamekuwa wapyaa na wanatisha.
Mfano utakuja kuona mengi sana kwa mtu kama Sowah.
Unaweza kujiuliza alikuwa wapi Afrika hii kwa kiwango atakachoonesha!
Hao wazee wenu ni wataalamu wa mazingaombwe sana.
Siamini yule konokono leo kawa kambale...mmeumbuka aisee..Maumivu ya chama kusajiliwa Yanga ni makubwa sana. Pole sana mbumbumbu
Uchawi wenu hatari sana!Mashabiki wa Simba ni tatizo Sana, mpaka Leo mnaamin uchawi?