Hapo mchezaji ni Bruno tu ...7. Sancho
8. Pogba
9. Ronaldo
10. Bruno
11. Rashford
Iv Epl kuna timu ina forwadline kali kama hiyo? Halaf et inateseka kupata matokeo[emoji23]
Fukuzen yule kocha wenu matako hajui chochote pake amejaza ujinga [emoji23][emoji23] lasivyo mtaendelea kutuona Liver tukipambana na Man city kubeba ndoo
Fatilia mambo ya timu yako mkuu, timu yetu haikuhusu na kila afe na mzigo wakeNa wale wa Arsenal nao watasemaje? Maana ni miaka sasa! wanapuyanga tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa shabiki wa Hasan AliFatilia mambo ya timu yako mkuu, timu yetu haikuhusu na kila afe na mzigo wake
Daah, wanatufatilia sana badala ya kuhangaika na matatizo yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa shabiki wa Hasan Ali