Usipanik na wala usibabaike hata mwaka jana tulifungwa 2~1Kelele nyingi sana kumbe timu lenyewe kama mandonga tu.
Wachambuzi wote wamehongwa waipambe timu hii.Pamoja na kupigwa leo wataendelea kusifiwa tu
Bila bahasha uto hamna kitu.Usipanik na wala usibabaike hata mwaka jana tulifungwa 2~1