Hii timu kweli inahitaji msaada

Hakuna timu iliyowahi kubeba kombe la vilabu vya Africa Kwa kutumia hongo Kwa waamuzi na uchawi.
Uchawi mbaka mnapigwa fine, mambo ya aibu alafu mnaita mafanikio.
Wekezeni kwenye utaaalamu sio chupri.
Kwa hiyo mnavyopita kwenye mageti yasiyo rasmi ni utalaamu?
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
 
Jichanganye nije na video zikiwahusisha baadhi ya viongozi na watendaji wa Simba wakifanya Ulozi live.
Huna hiyo video ndiyo maana unaishia kubwata bwata tu.Ungekuwa nayo ungeiweka,unaleta mikwara ya kitoto ya kutishia kupost.Weka tuone.
 
Utopolo hawanaga akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…