Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Inashangaa sana kwakweli, haya mambo wanayofanya hayawezi kufanywa na mtu mwenye akili timamu. Ni vibaka/wahuni/watu wasio na kazi ndio wanaweza kuyafanya haya.
Saa 9 usiku unaacha mke/mume wako kitandani unaenda kuipokea timu ya mpira?
Yaani unaitekeleza familia yako usiku kucha kwa mambo ya kipumbavu? Unaweka rehani usalama wa watoto wako nyumban kisa mpira?
Watu wa namna hii wanenda saa ngapi kufanya shughuli za ujenzi wa taifa?
Mamlaka za nchi zichukue hatua mapema kabla hawa watu wa hii timu hawajatuaribia taifa letu..
Ubaya ubwela...........