Hii timu ya Bilionea vipi?

, Hio picha ya pili ni mchezaji wa epl nadhani Everton kama sikosei, hata huo mpira una logo ya epl....

Wachezaji wengi ulaya wameanza kuvaa hizi socks zenye mashimo wanadai zinaongeza mzunguko mzuri wa damu kwenye miguu Yao....

Haya huyo hapo bukayo Saka wa arsenal

Elimu elimu elimu
 
Usishangae Makolokolo wakakwambia ndiyo fasheni ya kisasa, Mbumbumbu ni Mbumbumbu tu daima.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Masikini huwa unawaza kuwazodoa masikini wenzake,
Wakati mwingine anapitiliza na kufananisha anayoona kwa masikini wenzake yametokea kwa tajiri
 
Gongowazi lingine limekurupuka kutoka kwenye kuvimbiwa na mihogo.Hajui kwamba hiyo ni kawaida sana kwa timu kubwa za mpira duniani.Kawekewa picha ya Saka kapotea mazima.Yakivimbiwa mihogo huwa yanakuwa addicted na Simba na kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…