Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Naweza kusema hii ndiyo Simba Day Bora kuwahi kutokea toka lianzishwe hili tamasha, ubunifu wa Msemaji wa Simba SC naweza kusema leo ndiyo Man of The Match, huyu ndo kaifanya Simba Day ipendeze zaidi.
Mwamba atabaki kwenye historia ya soka la Tanzania.
Very creative
Sasa ya nini niishi maisha ya matesooAcha bangi
Toka huko 😊😊😊Nguvu Moja 😛
Hamia yanga kabla mambo hayajawa mamboNguvu Moja 😛
Kibabage kasajiliwa dirisha lipi?Ahueni Yanga safari hii wamesajili wachezaji wa kuingia moja kwa moja kikosi cha kwanza. Simba mlifanya usajili mzuri dirisha dogo. Kwenye dirisha hili kubwa sioni kama kuna maajabu.
Hapana 😛Hamia yanga kabla mambo hayajawa mambo
Niende wapi sasa jamani 😅Toka huko 😊😊😊
Haya ngoja ukondeane kwa preshaHapana 😛
Tchamecha mleu!Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔
Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.
Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .
Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .
Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Kuteseka bado kuko pale paleeee🤣🤣🤣
Nataka nipungue kidogoHaya ngoja ukondeane kwa presha