hata Lesotho imetushinda sasa sijui T utamfunga nani kwenye kundi letu hii Timu bora ingevunjwa tukakaa hata miaka miwili tujipange maana kila siku hamna kitu au bora hata wale madogo Serengeti wangeshiriki yaani mchezaji hata kupiga Pasi mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]