mh Natoa Member Joined Aug 3, 2017 Posts 28 Reaction score 11 Aug 5, 2017 #1 Baada ya singida united kuifunga gori la pili young walicho kifanya ni kuziba camer kwa jezi zao lakin walinz kam amelingamua ili mapema wakawasha camera nyingine Leo watu tunatest mitambo bhana ukizma camera moja tunawasha ingine Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya singida united kuifunga gori la pili young walicho kifanya ni kuziba camer kwa jezi zao lakin walinz kam amelingamua ili mapema wakawasha camera nyingine Leo watu tunatest mitambo bhana ukizma camera moja tunawasha ingine Sent using Jamii Forums mobile app
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Aug 5, 2017 #2 Upuuzi huo... Kuna kamchezo mchezo flani hivi kanafanywa....