Uchaguzi 2020 Hii Tume ya Uchaguzi teule inafahamu Sheria na Kanuni za Uchaguzi?

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
462
Reaction score
350
Nimeuliza swali hili ili nijuzwe, tume imefanya nini kwa haya:

1. Mgombea kuwaambia wananchi, msiponichagua mtakula vumbi mpaka mkome, sileti lami huku.

2. Msiponichagua na madiwani wangu sileti maji kwenu

Nauliza tu ili nijuzwe kama ni sahihi mgombea kutamka maneno ya namna hiyo, na kama tume inaweza kuchukua hatua zozote kwa mgombea wa namna hiyo.
 
Angalia hii video utapata jibu kuwa tume ni takataka tu.

Nimeuliza swali hili ili nijuzwe, tume imefanya nini kwa haya:

1. Mgombea kuwaambia wananchi, msiponichagua mtakula vumbi mpaka mkome, sileti lami huku.

2. Msiponichagua na madiwani wangu sileti maji kwenu

Nauliza tu ili nijuzwe kama ni sahihi mgombea kutamka maneno ya namna hiyo, na kama tume inaweza kuchukua hatua zozote kwa mgombea wa namna hiyo.

Tume wanafahamu sheria, ila shinikizo toka juu limewatoa kwenye mstari. - Si unajua watendaji wa tume ni wateule wa mgombea mmojawapo na bado yupo kwenye kiti?
 
Million
Nimeuliza swali hili ili nijuzwe, tume imefanya nini kwa haya:

1. Mgombea kuwaambia wananchi, msiponichagua mtakula vumbi mpaka mkome, sileti lami huku.

2. Msiponichagua na madiwani wangu sileti maji kwenu

Nauliza tu ili nijuzwe kama ni sahihi mgombea kutamka maneno ya namna hiyo, na kama tume inaweza kuchukua hatua zozote kwa mgombea wa namna hiyo.
[/QUOT
 
Back
Top Bottom