MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Magufuli yuko sahihi.Mkichagua upinzani mtajuta, siwatishi nawaambia ukweriiiiii.
Nimeuliza swali hili ili nijuzwe, tume imefanya nini kwa haya:
1. Mgombea kuwaambia wananchi, msiponichagua mtakula vumbi mpaka mkome, sileti lami huku.
2. Msiponichagua na madiwani wangu sileti maji kwenu
Nauliza tu ili nijuzwe kama ni sahihi mgombea kutamka maneno ya namna hiyo, na kama tume inaweza kuchukua hatua zozote kwa mgombea wa namna hiyo.

[/QUOT