Wote wapo sahihi! Kila mmoja alizungumza katika muktadha tofauti na mwenzake. Huyu wa ajira elfu 40 ni ajira serikalini,hao wengine wanazungumzia ajira kwa ujumla wake,serikalini,sector binafsi nk. Tena ajira rasmi na zisizo rasmi.