dmaujanja1
JF-Expert Member
- Nov 24, 2008
- 223
- 68
Can U explain japo kidogo the background of it. Inaonekana uanijua hii kitu. Je atakayeshinda atakuwa amepata Mpenz wa kweli?Ni reality!
Plz japo inaonekana inaelekea kuisha,maana wamebaki washiriki kama nane hivi pata nafasi ijumaa ukiangalie hiki kiping real Sodoma imekaribia kama ile ndiyo njia ya kupata wife hii kitu hatariMi sijaiona, lakini obviously itakuwa na ukweli.
Ni mwendelezo tu wa vituko vya hawa jamaa wazungu, tena mzee usiiitangaze hii mambo kwa watu, maana wabongo wataianzisha fasta , kama zilivyo Big Brother na Maisha Plus!
Kama wanakuwa wamepima ngoma acha wamlambe denda huyo mdada, lakini nna imani hata atakayempata atakuwa na shida sana , maana wale waliotolewa wataendelea kumbipbip maisha yote.
Can U explain japo kidogo the background of it. Inaonekana uanijua hii kitu. Je atakayeshinda atakuwa amepata Mpenz wa kweli?
Au ile marriage niya mkataba?