Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani?

Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"

312BABEE-521C-45F0-A3EC-AA6A689EE6E6.jpeg
 
jingalao,

Utajibu nini kwenye hoja ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu tena kwa kampuni inayosemekana una uhusiano nayo kwa utaratibu ambao wala haukujadiliwa wala kupitishwa na bunge?

Spana za Lissu ni kali sana kwenu mataga!! Mnatamani kusiwe na uchaguzi mwaka huu😃. Na huyo ndo Lissu!
 
Back
Top Bottom