Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

jingalao,

Utajibu nini kwenye hoja ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu tena kwa kampuni inayosemekana una uhusiano nayo kwa utaratibu ambao wala haukujadiliwa wala kupitishwa na bunge?

Spana za Lissu ni kali sana kwenu mataga!! Mnatamani kusiwe na uchaguzi mwaka huu😃. Na huyo ndo Lissu!
 
CCM imeshikwa pabaya. Wananchi wamechoshwa na nyimbo za Stiglers, SGR, fly over and the like ambazo zimesikika kwa miaka mitano huku wao wakiendelea kufa njaa.

Wanataka kusikia kutoka kwa mkombozi atakaye boresha maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…